Jamaa anaminika na Rapper Jay z kuwa atampa mauzo mazuri kwenye lebel yake ya Roc Nation, Huyu ni Rapper J Cole na sasa anakuja na album mpya Jina Ni Born Sinner na Tayari siku ya kutoka imetajwa ni Tarehe 25 June 2013, Fahamu kuwa itatoka Siku moja na album ya Kanye Wesy Yeezus.
No comments:
Post a Comment